Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya. Kupenya kwa dawa bandia barani Afrika ni tatizo la kiafya ambalo haliwezi kupuuzwa kulingana na shirika moja la hisani nchini Uingereza.

Wakfu huo wa Brazzaville unaandaa mkutano wa mataifa saba ya Afrika nchini Togowiki hii ili kukabiliana na tatizo hilo. Shirika la afya duniani WHO linasema kwamba asilimia 42 ya dawa zote bandia zilizoripotiwa kwake kati ya mwaka na zilitoka barani Afrika.

Eneo la Ulaya na lile la Marekani kusini na Kaskazini yalikuwa na jumla ya asilimia 21 kila mmoja. Lakini je takwimu hizo zina ukweli gani? WHO lina mpango wa kuripoti visa vya dawa bandia unaotegemea mamlaka za kitaifa ama hata zile za kieneo duniani ili kupata habari hizo. WHO limesema kwamba huku maafisa zaidi wakifunzwa na mashirika yanayosimamia kuwa machoidadi ya visa vya kukamatwa kwa dawa bandia viliongezeka.

Hivyobasi kuna uwezekano mkubwa kwamba maeneo yenye usimamizi mbaya ama uliodhoofu huenda yakaripoti kiwango kidogo cha tatizo hilo. Bright Simonsambaye alianzisha mfumo wa kukagua dawa nchini Ghana amesema kwamba sio rahisi kutoa makadirio kwa kuwa biashara hiyo inafanywa kwa siri kubwa mno. Lakini kumekuwa na visa vya kukamatwa kwa dawa hizo katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni hatua inayotoa ishara kuhusu kiwango cha tatizo hilo Afrika magharibi.

Kampuni ya hisabati PwC inasema kwamba kiwango cha dawa bandia katika baadhi ya mataifa kinaweza kuwa asilimia 70 juu katika maeneo yanayoendelea kama vile bara Afrik. WHO inakadiria moja kati ya bidhaa 10 za matibabu katika mataifa yenye mapato ya kadri ikiwemo eneo kubwa la barani Afrika ziko katika kiwango cha chini ama bandia.

Na mwakautafiti uliochapishwa katika jarida la kijamii Marekani na usafi unakadiria kwamba zaidi ya watotowalio chini ya umri wa miaka mitano hufariki kila mwaka kutokana na dawa za kukabiliana na malaria za kiwango cha chini katika eneo la jangwa la sahara barani Afrika.

Ijapokuwa matokeo yake ni makadiriowanasayansi hao wanasema kwamba dawa za kiwango cha chini zinachangia pakubwa katika vifo vya watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano.

Dawa bandia mara nyingi haziwezi kutofautishwa na dawa sahihi kutokana na pakiti zake ambazo ni nzuri. Pia kuna tatitzo la bei za dawa katika mataifa masikini. Iwapo dawa nzuri kutoka kwa muuzaji ni ghali, watu hujaribu dawa ilio rahisi kutoka kwa muuzaji ambaye hana leseni, WHO limesema. Hata dawa zilizopunguzwa bei zinaweza kuwa biashara miongoni mwa wahalifuiwapo mauzo yake yapo juu.

azuma ni dawa gani

Hatahivyo kuna suluhisho la kiteknolojia linalofanyiwa majaribioikiwemo programu za simu ili kuwasaidia watumiaji kutambua dawa. Habari Michezo Video Vipindi vya Redio.Moja ya changamoto ambayo watu wengi wameiandika ni kuhusu biashara gani mtu afanye ili aweze kupata mafanikio. Leo kwa faida yetu sote tutagusia tena kuhusu ni biashara gani yenye faida ambayo mtu anaweza kufanya. Kabla hatujaanza kugusia biashara hiyo naomba tuone maoni ya wasomaji wenzetu waliyotuma.

Nahitaji kufanya biashara, na nimeshaanda mtaji kiasi kama cha milioni Tatizo langu nashindwa nifanye biashara gani na nianze vp? Naomba msaada wako. Ni mradi, miradi gani nianzise kwa mtaji wa sh. Tatizo Biashara Gani? Mm naomba kupata business idea kwa mtaji wa million mbili isiwe biashara ya kukodi frem na mm profession yangu ni Accountant nimemaliza degree ya Huasibu IFM Niko maeneo ya kunduchi mbezi beach na ninapendelea biashara za mizunguko hapa dar.

Hiyo ndo changamoto yangu nimatumaini yangu nitapata kitu cha ukweli shkran. Kama tulivyoona hapo juu watu wengi wanapata changamoto kubwa sana ya kujua ni biashara gani wafanye.

Lakini kiukweli hii sio changamoto, kwa sababu swala la biashara gani ufanye sio kidonge kimoja ambacho kinaweza kutibu watu wote. Biashara moja inaweza kuwa nzuri kwa watu wengine ila ikawa mbaya sana kwako.

azuma ni dawa gani

Unaweza kuona watu wanapata faida kwenye biashara fulani ila ukaingia wewe na ukapata hasara kubwa sana. Hivyo kujua ni biashara gani ufanye ni kitu ambacho unatakiwa kukifikiria kw akina na sio kuiga au kuamua tu kufanya chochote.

Katika makala hii ya leo tutaangalia vitu viwili, jinsi ya kujua biashara ambayo itakulipa na jinsi ya kupata wazo bora la biashara. Jibu la swali kwamba nifanye biashara gani haliwezi kuwa sawa kwa watu wote. Jibu la swali hili linategemea na mtu na ili kuweza kupata jibu la swali lako wewe mwenyewe unatakiwa kujiuliza na kujipa majibu sahihi maswali haya matatu.

Katika maisha yako kuna vitu fulani ambavyo unavipenda sana au unapendelea kufanya. Inawezekana unapenda mitindo, inawezekana unapenda michezo, inawezekana unapenda magari au kusafiri na kadhalika. Kwa kuangalia mambo haya unayopenda sana kufanya unaweza kufikiria ni jinsi gani unaweza kuyageuza kuwa biashara. Kwa mfano kama unapenda sana kusafiri unaweza kuanzisha biashara ya usafirishaji.

Kama unapenda sana mifugo au wanyama unaweza kuanzisha biashara ya ufugaji. Ni vizuri sana kufanya biashara unayoipenda kwa sababu utakuwa na shauku ya kujifunza zaidi na hutokata tama mapema hasa mambo yanapokuwa magumu. Swali hili ni muhimu na litakuwezesha kujua kitu ambacho unaweza kukifanya kwa ubora wa hali ya juu sana. Kumbuka ili kufikia mafanikio kwenye jambo lolote ni lazima uweze kufanya kwa ubora wa hali ya juu sana.Homa ya mapafu au nimonia ni ugonjwa mmoja unaosababisha vifo vingi vya watoto wadogo kuliko ugonjwa mwingine duniani kote.

Inakadiriwa kwamba watoto zaidi ya wanafariki kila siku kutokana na nimonia. Athari hizi zinaweza kusababishwa na bacteria, virusi au fangasi. Homa ya mapafu husababisha mcharuko na kututumka kwa vifuko vya hewa alveolis kwenye mapafu na kufanya mapafu kujaa maji na kupelekea ugumu katika upumuaji. Endelea kusoma zaidi makala yeru ili kujua namna gani ya kujikinga na kutibu pneumonia. Dalili za pneumonia zinaweza kuwa za kawaida na pia dalili kali sana ambazo zinaweza kuhatarisha maisha kama ifuatavyo.

Nimonia inaweza kugawanya katika makundi mbalimbali, mgawanyo wa kwanza ni kutokana na vimelea waliosababisha kutokea kwa ugonjwa. Nimonia ya bacteria na ile ya virusi zote kwa pamoja zaweza kuambukizwa kwa kuvuta hewa yenye vimelea kutoka kwenye mafua ama kikohozi. Japo kila mtu anaweza kuugua homa ya ini lakini kuna baadhi ya makundi wapo kwenye hatari zaidi pengine kutokana na kutoimarika kwa kinga zao, mitindo ya maisha, hali zao za kiafya ama mazingira wanakoishi, makundi haya ni.

Kama umeona una dalili za nimonia basi onana na dactari haraka ili kufanya vipimo na kupata uhakika, hasahasa kama uliugua mafua makali, ama umri wako ni zaidi ya miaka Watoto wadogo na wale wachanga wanatakiwa kufanyiwa vipimo kwa haraka ili kupata uhakikisho kuwa wanaumwa nimonia kutokana na kwamba wapo kwenye hatari zaidi ya kufa kwa ugonjwa huu kuliko watu wazima.

Skip to content Homa ya mapafu au nimonia ni ugonjwa mmoja unaosababisha vifo vingi vya watoto wadogo kuliko ugonjwa mwingine duniani kote. Dalili Za Homa Ya Mapafu Pneumonia Dalili za pneumonia zinaweza kuwa za kawaida na pia dalili kali sana ambazo zinaweza kuhatarisha maisha kama ifuatavyo Kikohozi kikali na kupata makohozi yenye mithili ya kamasi Kupata homa kali na mwili kutoka jasho jingi Kupata ugumu katika upumuaji Maumivu ya kifua Watoto chini ya miaka mitano hupumua haraka haraka Watoto pia wenye pneumonia huweza kutapika, kuishiwa nguvu, na kupata shida ya kula na kunywa Wagonjwa wazee na wenye umri mkubwa, joto hushuka sana kuliko joto la kawaida la mwil.

Aina Za Homa Ya Mapafu Pneumonia Nimonia inaweza kugawanya katika makundi mbalimbali, mgawanyo wa kwanza ni kutokana na vimelea waliosababisha kutokea kwa ugonjwa. Nimonia ya virusi: vimelea wanaosabaisha aina hii ya homa ya mapafu ni virusi na mara nyingi ni virusi kwenye mfumo wa hewa. Aina hii ya homa ya mapafu huwapata zaidi watoto na wazee.

Hesperian Health Guides

Aina hii ya homa ya mapafu huisha haraka ikilinganishwa na ile inayosababishwa bna bacteria. Nimonia ya bacteria: bacteria wanaosababisha aina hii ya homa ya mapafu huitwa Streptococcus pneumoniae, Chlamydophil pneumoniae ma Legionella pneumophila. Nimonia ya fangasi: fangasi kutoka kwenye udongo ama kupitia kwa viumbe kama ndege wanaweza kusabaisha nimonia, kama hewa ya manyoya ikivutwa.

Watu wenye kinga ndogo na wenye magonjwa sugu wapo kwenye hatari zaidi ya kupatwa na nimonia ya fangasi. Nimonia ya kuambukizwa hospitali-hospital acquired pneumonia HAP : aina hii ya nimonia hupatikana kutokana na maambukizi hosputali wakati unapata tiba. Aina hii ya nimonia yaweza kuwa hatari zaidi kwani vimelea wanakuwa sugu na hawasikii dawa. Nimonia ya kuambukizwa kwenye jumuiya-community acquired pneumonia : hii ni aina ya homa ya mapafu ambayo huambukizwa nje ya kituo cha afya.

Je nimonia inaweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine kwa kugusana?

azuma ni dawa gani

Japo kila mtu anaweza kuugua homa ya ini lakini kuna baadhi ya makundi wapo kwenye hatari zaidi pengine kutokana na kutoimarika kwa kinga zao, mitindo ya maisha, hali zao za kiafya ama mazingira wanakoishi, makundi haya ni Waototo chini ya miaka miwili na watu wazima zaidi ya miaka 65 Watu wenye matatizo katika kumeza na waliowahi kuugua kiharusi Wenye kinga hafifu kutokana na eidha kuugua sana magonjwa ama matumizi ya dawa kwa muda mrefu kama dawa za saratani.Fibroids ni uvimbe wa misuli laini wenye mizizi ya kuiunganisha unaoota na kukua kwenye uterus.

Utafiti kuhusu hilli bado unaendelea. Baadhi ya dalili za fibroids ni:. Endapo tiba imekuwa ni ya lazima, anaweza kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji kutokana na hali iliyopo. Hysterectomy — Kuondoa uterus. Upasuaji huu una madhara ya aina mbili: 1. Kukoma hedhi mapema. Myomectomy — Fibroids kuondolewa kutoka wenye ukuta wa uterus. Magnetic-resonance-guided focused ultrasound surgery : Kifaa maalumu hutumika kugundua eneo la fibroid, kisha mawimbi ya sauti huelekezwa kwenye fibroid.

Mawimbi hayo hulinyausha fibroid.

azuma ni dawa gani

Kwa maelezo zaidi na ya kina au kupata msaada, tuma ujumbe kupitia ukurasa huu hapa chini kwa kujaza fomu, au tutumie barua pepe kupitia promota gmail. Tafadhali ungana nasi kwenye ukurasa wa facebook wa LINDA AFYA YAKO ili upate mfululizo wa mada zetu zinazohusu afya ya binadamu na jinsi ya kuanza na kufanya biashara za mtandao zinazohusu virutubisho vya mwili kwa mtaji mdogo kabisa.

Tunaomba uweke LIKE kwenye ukurasa huo endapo utakuwa umependezewa na mada zetu. Jina Lako. Anuani Ya Barua Pepe. Namba Yako Ya Simu. Kichwa Cha Habari. Swali Au Maoni Yako. Fibroids Ni Kitu Gani? Ni Nini Tiba Ya Fibroids? Subserosal fibroids : Fibroids aina hii hukua nje ya kuta za uterus na huweza kuwa na shina. Cervical fibroids : Fibroids aina hii hujenga kwenye shingo ya tumbo la uzazi Cervix.

Kukoma hedhi mapema Myomectomy — Fibroids kuondolewa kutoka wenye ukuta wa uterus. Endometrial ablation : Kuondoa wa ngozi laini ya ndani ya uterus.

Una Tatizo la Fibroids? Ugonjwa Wa Gout. Unaujua Ugonjwa Huu Wa Gout? Ugonjwa Wa Kisonono Gonorrhoea. Chanzo, Dalili Na Tiba. Chanzo Na Tiba Ya Hernia. Faida Za Usingizi.Baada ya kusoma makala inayohusu kijana mmoja aliyesumbuliwa na kwikwi kwa zaidi ya miaka miwili na nusu, na baadaye kutibiwa tatizo hilo kwa kufanyiwa upasuaji wa ubongo na kutolewa tezi, nimeamua leo nizungumzie kwikwi.

Kwiki ni kitendo kisichozuilika ambacho hutokana na kusinyaa kwa kuta za kiwambo cha moyo au diaphragm.

Kwa kawaida kwikwi ni kitendo kinachojirudia rudia mara nyingi. Sauti ya 'hic' inayotokea wakati unapokuwa na kwikwi husababishwa na kidaka tonge epiglottis. Kupiga kwikwi kwa kawaida hakuna maumivu lakini mara nyingine husumbua hasa inapoendelea kwa muda mrefu. Kwikwi ya kawaida huweza kutulizwa kwa kunywa maji, lakini wakati mwingine kufanya hivyo hakusaidii.

Zifutazo ni sababu zinazoweza kukuletea kwikwi 1. Kula kwa haraka. Kula chakula cha moto na kunywa maji baridi baada yake. Kulia au kukasirika. Kula chakula chenye viungo vingi au pilipili.

Kula chakula cha moto sana. Kunywa pombe au soda kwa wingi.

Kisonono Sugu

Kukohoa sana. Kucheka kupita kiasi. Kufurahi sana, kusisimka au kupatwa na msituko. Kwa ujumla tunaweza kusema kuwa, vitu ambavyo vinakiletea karaha kiwambo cha moyo au diaphragm husababisha kwikwi.

Kuna sababu nyingi ambazo husababisha jambo hilo na hizo tulizotaja hapo juu ni miongoni mwazo,ambapo matokeo yake ni humfanya mtu. Kwikwi kwa kawaida huisha baada ya dakika chache au hata sekunde. Lakini iwapo kwikwi itaendelea kwa masaa au kwa siku, huweza kuwa ni tatizo muhimu la kitiba na pengine hali kama hiyo inaweza ikawa inasababiswa na ugonjwa. Kuna baadhi ya watu hupata kwikwi sana wakati wa ujauzito, baada ya kufanyiwa operesheni na hata watoto wachanga pia hupatwa na kwikwi mara kwa mara.

Wajawazito hupata kwikwi sana mwishoni mwa miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito na mwanzoni mwa miezi mitatu ya pili. Kwikwi hutokea wakati wa ujauzito ni kwa sababu wakati huo uwezo wa.

Hakuna sababu inayojulikana inayosababisha kwikwi kwa watoto wachanga, na wazazi wanashauriwa wasitiwe hofu na suala hilo. Hii ni katika hali ambayo kwikwi baada ya upasuaji husababishwa na nusu kaputi au anesthesia. Labels: health. No comments. Subscribe to: Post Comments Atom. Chia seeds ni mojawapo ya vyakula vyenye kiwango kikubwa cha virutubisho.

Mbegu za chia zina virutubisho mbali mbali ambavyo ni muhimu k Kila mwanamke katika maisha yake kuna muda anatokwa na ute katika viungo vyake vya uzazi,ute huu unaweza kuwa wa kawaida au ute unasababis Fragil inafanyaje kazi?

Dawa hii ni ya kuua vijidudu vilivyo kwenye group la gram negative. Lishe bora wakati wa ujauzito ni muhimu sana, kwani lishe hii hutumika kwa mama na mtoto anaendelea kukua tumboni. Kwa kawaida mahitaji y About the Author dr.Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono.

Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:. Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, Vitamin B Complex. Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva.

Ugonjwa wa kisukari, mtu mwenye tatizo la kisukari huwa hatarini zaidi kuugua au kupata matatizo ya neva, diabetic polyneuropathy. Shinikizo la damu, mtu kuwa na shinikizo kubwa la damu High blood pressure pia ni kihatarishi kinachoweza kumfanya mtu apate ugonjwa huu wa neva.

Baadhi ya vitu hatarishi vinavyoweza kumfanya mtu apate matatizo haya, vinaweza kuepukika kwa mtu kuyabadili maisha yake mfano, kama ulikuwa hufanyi mazoezi ya mwili, basi ujitahidi kuupa mwili mazoezi ili kupunguza uzito wa mwili, kuepuka magonjwa ya kisukari na kuepuka kuwa na shinikizo kubwa la damu, kula chakula chenye virutubisho vya kutosha na fuata maelekezo ya wataalamu wa afya kuhusu matumizi sahihi ya dawa na kanuni za kukufanya uishi huku ukiwa na afya bora.

Chanzo: Tanzlife Company Limited. Naitwa maximillian, mwanangu mkono mmoja hauna nguvu yaani kama vile ana polio, na madaktari wanasema hauna shida ni mazoezi tu yanahitajika, ninajitahidi kumfanyia mazoezi lakini badiliko sioni, nifanyeje tafadhali.!!!

USHAURI; Biashara Nzuri, Inayolipa Na Unayoweza Kuifanya.

Asante sana umenisaidia sana. Tatizo la kuhisi miguu inawaka moto ninalo na nina uzito zaidi ya kg hivyo kwa maelezo haya machache umenisaidia sana. Nasi tunashukuru na tunaamini kuwa japo kwa uchache umeweza kufahamu ni wapi au ni kitu gani cha kuanza nacho katika kutatua tatizo hilo, pole sana.

Mimi pia nasumbuliwa na tatizo la kuhisi kama miguu na mikono kama inawaka moto na nimejaribu kutumia dawa nilizo elekezwa na wataalamu ila bado tatizo linaendelea, nifanyeje? Kwanza pole sana kwa usumbufu na maumivu unayoyapata kutokana na tatizo hilo, katika kutatua au kutibu tatizo lolote lile jambo la msingi kujua kwanza ni chanzo cha tatizo husika, baada ya hapo ndipo matibabu huchukua nafasi yake, labda pamoja na kupewa dawa za kutumia, je ulifahamishwa chanzo cha wewe kupata hayo maumivu au kuhisi viungo kufa ganzi.

Litakuwa ni jambo la kubahatisha endapo tutakwambia fanya kitu fulani au tumia dawa fulani wakati hatujajua chanzo cha tatizo lako ni nini, tukishajua chanzo ni nini tutaweza kukwambia kitu cha kufanya. Ila pole sana ndugu. Jackson Nyabusani. Asante sana…jaman naombeni msaada mie nina matatizo Miguu imekufa ngazi na vidole kuuma sana na sasa ni miaka 3.

Nimelipata tatizo hili baada ya kujifungua motto. Hospital nimeenda nikapewa Dawa za vitamin ambazo unakunywa mwezi mzima pia nimechoma name sindano.Maudhui haya yametoka kwenye Sura ambazo zimetangulizwa kutoka Pale ambapo Wanawake hawana Daktari.

Mimba inaweza kutolewa kutoka tumboni na mfanyakazi wa afya ambaye amepitia mafunzo. Zipo njia kadhaa za utoaji mimba:. Mimba hutolewa kwa kufyonzwa au kunyonywa kwa kutumia mrija maalum ambao huingizwa kwenye tumbo la uzazi kupitia uke na mlango wa tumbo la uzazi seviksi. Hii inaweza kufanyika bila kumpa mama dawa za usingizi, ingawa wakati mwingine dawa huchomwa kwenye mlango wa kizazi kusaidia kupunguza maumivu. Utoaji kwa njia ya kunyonywa au kufyonzwa ukifanyika kwa mkono, bomba la sindano hutumika kuutoa ujauzito.

Ama sivyo, mashine ndogo ya umeme hutumika. Utoaji kwa mkono kwa kutumia bomba la sindano MVA ni rahisi na salama, na huchukua dakika 5 hadi 10 tu. Kawaida hufanyika kwenye kliniki au kituo cha afya, au kwenye ofisi ya daktari. Aina hii ya utoaji mimba ni salama unapofanyika ndani ya wiki 12 za mwanzo miezi 3 za ujauzito.

Baada ya wiki 12, njia hii itumike tu kama mwanamke yupo katika hatari kubwa na huna njia nyingine ya kumsaidia. Njia hii ya MVA husababisha matatizo kidogo ukilinganisha na njia zingine zilizoelezewa hapa chini njia za upanuaji na ukwanguaji — dilation and curettage.

Katika baadhi ya sehemu, njia ya utoaji mimba kwa kutumia vifaa vya kunyonya au kufyonza MVA pia hutumika kutoa nje hedhi ya mwezi iliyochelewa.

Mwanamke wakati mwingine anaweza kutojua kuwa ana mimba- kwamba hedhi yake ya kila mwezi haijaja. Hii hujulikana kama kurekebisha hedhi menstrual regulation. Njia ya MVA pia hutumika kutibu uvujaji damu kutokana na jaribio la kutoa mimba ambalo halikukamilika au mimba iliyoharibika.

Kwa taarifa zaidi juu ya njia ya utoaji mimba kwa vifaa vya kunyonya au kufyonza — soma Kitabu cha Wakunga A Book for Midwives ambacho kimechapishwa na Hesperian. Mimba hukwanguliwa kwa kutumia kifaa kijulikacho kama curette, ambacho hufanana na kijiko kidogo na kimetengenezwa maalum ili kingizwe kwenye tumbo la uzazi.

Kifaa hiki ni kikubwa kiasi na ni kikali; hivyo, mlango wa kizazi unapaswa kutanuliwa. Utanuaji huu unaweza kusababisha maumivu. Njia hii ya upanuaji na ukwanguaji huhitaji muda mwingi zaidi takriban kati ya dakika 15 hadi 20na huwa na maumivu zaidi, na hugharimu zaidi kuliko njia ya MVA. Kawaida hufanyika kwenye chumba cha upasuaji na mwanamke mara nyingi hupewa dawa za usingizi.


Thoughts to “Azuma ni dawa gani”

Leave a Comment